Upinde wa mvua
Ishara au alama ya agano la Mungu na Nuhu (Mwa. 9:13–17). TJS, Mwanzo 9:21–25 (Kiambatisho) inaelezea kwamba agano hilo linajumuisha ahadi kwamba dunia kamwe haitafunikwa tena kwa gharika ya maji, kwamba Sayuni ya Henoko itarudi, na kwamba Bwana atakuja tena kuishi duniani.