Smith, Emma Hale Ona pia Smith, Joseph, Mdogo Mke wa Joseph Smith Nabii. Bwana alimwamuru Emma kufanya uteuzi wa nyimbo. Pia alitumikia kama rais wa kwanza wa Jumuiya ya usaidizi wa Akina Mama. Ufunuo ulitolewa juu ya mapenzi ya Bwana kwa Emma Smith, M&M 25. Bwana alimshauri Emma Smith juu ya ndoa, M&M 132:51–56.