Yosia Mfalme mwadilifu wa Yuda kutoka mwaka 641–610 K.K. (2 Fal. 22–24; 2 Nya. 34–35). Wakati wa utawala wake, kitabu cha torati kilipatikana katika nyumba ya Bwana (2 Fal. 22:8–13).