Fayette, New York (Marekani)
Eneo la shamba lililomilikiwa na Peter Whitmer Mkubwa, mahali ambapo mafunuo mengi yalitolewa kwa Joseph Smith Nabii Mdogo. Hapo ndipo mahali Kanisa lilipoanzishwa mnamo 6Â Aprili 1830 na sauti ya Bwana ilisikika (M&M 128:20).