Tito
Katika Agano Jipya, ni Myunani muongofu na muaminifu aliyesafiri kwenda Yerusalemu pamoja na Paulo na baadaye akawa mmsionari (Gal. 2:1–4; 2 Tim. 4:10). Tito alipeleka waraka wa kwanza wa Paulo kwa Watakatifu huko Korintho (2 Kor. 7:5–8, 13–15).