Mti katika Bustani ya Edeni na ni pepo ya Mungu (Mwa. 2:9 ; Ufu. 2:7 ). Katika ndoto ya Lehi mti wa uzima inawakilisha upendo wa Mungu na inaelezwa kuwa kama ndiyo zawadi ya Mungu kubwa kuliko zote (1 Ne. 8 ; 11:21–22, 25 ; 15:36 ).
Lehi aliuona mti wa uzima, 1 Ne. 8:10–35 .
Nefi aliuona mti ambao baba yake aliuona, 1 Ne. 11:8–9 .
Fimbo ya chuma ndiyo iongozayo kwenye mti wa uzima, 1 Ne. 11:25 (1 Ne. 15:22–24 ).
Shimo refu na la kutisha huwatenga waovu na mti wa uzima, 1Â Ne. 15:28, 36 .
Ilikuwa hakuna budi kuwepo na tunda lililokatazwa kinyume na mti wa uzima, 2Â Ne. 2:15 .
Njooni kwa Bwana na mpate kula tunda la mti wa uzima, Alma 5:34, 62 .
Kama wazazi wetu wa kwanza wangekula tunda la ule mti wa uzima, wangekuwa wenye huzuni milele, Alma 12:26 .
Kama hautalistawisha neno, kamwe hamuweza mkachuma tunda la mti wa uzima, Alma 32:40 .
Bwana alipanda mti wa uzima katikati ya bustani, Musa 3:9 (Ibr. 5:9 ).
Mungu alimtoa Adamu kutoka Edeni asije akala baadhi ya tunda la mti wa uzima na akaishi milele, Musa 4:28–31 .