Kustahili, enye Kustahili, Ustahiliki Ona pia Haki, Uadilifu, enye Uadilifu Kuwa mwadilifu kibinafsi na kuwa mwenye kukubalika mbele za Mungu na viongozi Wake wateule. Mtu asiyechukua msalaba wake hanistahili, Mt. 10:38. Mtenda kazi anastahili kupewa ujira wake, Lk. 10:7 (M&M 31:5). Angalieni kwamba mnafanya mambo yote katika ustahmilivu, Morm. 9:29. Hawakubatizwa isipokuwa walipokuwa wamekuwa wenye kustahili, Moro. 6:1. Yule aliye mzembe hatahesabika kuwa mwenye kustahili kusimama, M&M 107:100. Mtu ambaye hakustahimili kurudiwa haustahili ufalme wangu, M&M 136:31. Ukuhani uliruhusiwa kutolewa kwa waumini wanaume wote wenye kustahili, TR 2.