Mwanzo Ona pia Maisha kabla ya kuzaliwa; Umba, Uumbaji; Yesu Kristo Kwa ujumla humaanisha wakati kabla ya maisha katika mwili wenye kufa ambayo ni maisha kabla ya kuzaliwa. Nyakati zingine Yesu Kristo anatajwa kama Mwanzo. Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia, Mwa. 1:1 (Musa 2:1). Hapo mwanzo kulikuwako Neno, Yn. 1:1. Mimi ndimi Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, 3Â Ne. 9:18. Kristo ndiye mwanzo na mwisho, M&M 19:1. Agano jipya na lisilo na mwisho lilikuwako kutoka mwanzo, M&M 22:1. Mwanadamu alikuwa mwanzoni pamoja na Mungu, M&M 93:23, 29. Roho adilifu na kuu zilichaguliwa mwanzoni kuwa watawala, M&M 138:55. Mwanangu wa Pekee alikuwa pamoja nami kutoka mwanzo, Musa 2:26.