Uadui Ona pia Husuda; Kisasi; Upendo Katika maandiko, ni uhasama, kuwa na uadui, na kuchukia. Nitaweka uadui kati yako wewe na mwanamke, Mwa. 3:15 (Musa 4:21). Mawazo ya kimwili ni uadui dhidi ya Mungu, Rum. 8:7. Kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu, Yak. (Bib.) 4:4. Katika siku hiyo uadui utakoma kutoka mbele ya uso wangu, M&M 101:26.