Habili Ona pia Adamu; Kaini Katika Agano la Kale, ni mwana wa Adamu na Hawa. Alimtolea Mungu dhabihu iliyo bora kuliko alivyofanya Kaini kaka yake, Mwa. 4:4–5 (Ebr. 11:4; Musa 5:16–21). Aliuawa na Kaini, Mwa. 4:8 (Musa 5:32). Alipokea ukuhani kutoka kwa Adamu, M&M 84:16. Shetani alikula njama na Kaini ili kumwua Habili, Musa 5:28–31 (Hel. 6:27).