Chumvi Ilitumika kama kilinda chakula muhimu katika ulimwengu wa kale; ilifikiriwa kuwa kitu muhimu katika maisha. Mke wa Lutu akawa nguzo ya chumvi, Mwa. 19:26. Ninyi ni chumvi ya dunia, Mt. 5:13 (Lk. 14:34; 3 Ne. 12:13). Watu wa agano wa Bwana wanahesabika kama chumvi ya dunia, M&M 101:39–40. Kama Watakatifu sio njia ya wokovu kwa wanadamu, wao ni sawa na chumvi iliyopoteza ladha yake, M&M 103:9–10.