Kipatriaki, Patriaki
Maandiko huzungumzia juu ya aina mbili za mapatriaki: (1) ofisi iliyo katika Ukuhani wa Melkizedeki, wakati mwingine huitwa mwinjilisti; (2) baba za familia. Mapatriaki waliotawazwa hutoa baraka maalumu kwa waumini wa Kanisa wanaostahili.