Zarahemla Ona pia Amoni, wa Uzao wa Zarahemla; Muleki Katika Kitabu cha Mormoni, Zarahemla inataja kwa (1) mtu aliyeliongoza koloni la Muleki, (2) mji uliopewa jina lake, (3) nchi ya Zarahemla, au (4) watu waliomfuata yeye. Zarahemla alifurahi kwamba Bwana alikuwa amewapeleka Wanefi, Omni 1:14. Zarahemla alitoa nasaba ya baba zao, Omni 1:18. Amoni alikuwa wa uzao wa Zarahemla, Mos. 7:3, 13. Kanisa lilianzishwa katika mji wa Zarahemla, Alma 5:2. Kwa sababu ya wenye haki waovu waliokolewa katika Zarahemla, Hel. 13:12. Mji wa Zarahemla uliunguzwa moto wakati wa kifo cha Kristo, 3Â Ne. 8:8, 24.