Farao Ona pia Egipto; Misri Mwana mkubwa wa Egipto, binti wa Hamu (Ibr. 1:25). Pia, ni jina walilopewa wafalme wa Misri (Ibr. 1:27).