Uteuzi
Utegemeao ustahilivu kabla ya kuzaliwa, Mungu aliwachagua wale ambao wangekuwa wazao wa Ibrahimu na wa nyumba ya Israeli na kuwa watu wa agano (Kum. 32:7–9; Ibr. 2:9–11). Watu hawa wanapewa baraka maalumu na wajibu ili waweze kubariki mataifa yote ya ulimwengu (Rum. 11:5–7; 1 Pet. 1:2; Alma 13:1–5; M&M 84:99). Hata hivyo, hata hawa wateule ni lazima waitwe na kuteuliwa katika maisha haya ili wapate wokovu.