Miriamu Ona pia Musa Katika Agano la Kale, ni dada wa Musa (Hes. 26:59). Aliangalia kisafina kilichotengenezwa kwa manyasi, Ku. 2:1–8. Aliwaongoza wanawake wenye matari, Ku. 15:20–21. Alinungʼunika dhidi ya Musa na akapigwa kwa ukoma, kisha akaponywa, Hes. 12:1–15 (Kum. 24:9).