Waamaleki (Agano la Kale)
Kabila la Waarabu ambao waliishi katika jangwa la Parani kati ya Araba na Meditarania. Daima walikuwa vitani na Waebrania kutoka wakati wa Musa (Ku. 17:8) hadi wakati wa Sauli na Daudi (1 Sam. 15; 27:8; 30; 2 Sam. 8:11–12).