Waamaleki (Kitabu cha Mormoni) Kundi la Wanefi wakengeufu waliowaongoza Walamani katika vita dhidi ya Wanefi (Alma 21–24; 43).