Magugu Nyasi au majani yenye sumu ambayo yanafanana kwa sura na ngano. Hayawezi kutofautishwa na ngano hadi yamekuwa na kukomaa (Mt. 13:24–30; M&M 86:1–7).