Dhiraa Kipimo cha kawaida cha urefu miongoni mwa Waebrania—kwa asili ni urefu kutoka kiwiko cha mkono hadi ncha za vidole.