Yafethi Ona pia Nuhu, Patriaki wa Biblia Mwana mkubwa wa Nuhu, nabii wa Agano la Kale (Musa 8:12). Nuhu akamzaa Yafethi, Mwa. 5:32 (Mwa. 6:10; Musa 8:12). Yafethi na mkewe wakaingia katika safina ya Nuhu, Mwa. 7:13. Yafethi akatoka nje ya safina, Mwa. 9:18. Mungu atamnafisisha Yafethi, Mwa. 9:27.