Tamaa mbaya Ona pia Kupenda anasa, Matamanio ya anasa Kuwa na hamu kubwa isiyofaa kwa kitu fulani. Usiutamani uzuri wake moyoni mwako, Mit. 6:25. Yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini, Mt. 5:28 (3 Ne. 12:28). Wanaume waliwakiana tamaa, Rum. 1:27. Kwa kufuata tamaa zao wenyewe watajilundikia walimu, 2 Tim. 4:3–4. Labani aliona mali yetu na akaitamani, 1 Ne. 3:25. Usiende tena kufuata tamaa ya macho yako, Alma 39:3–4, 9. Mtu amwangaliaye mwanamke kwa kumtamani ataikana imani, M&M 42:23. Acheni tamaa zenu zilizo mbaya, M&M 88:121.