Chukiza, Chukizo Ona pia Dhambi Katika maandiko, ni kitu ambacho kinasababisha kuchafuka moyo au chuki kwa wenye haki na wasafi. Midomo ya uongo ni chukizo kwa Bwana, Mit. 12:22. Kiburi ni chukizo machoni pa Bwana, Yak. (KM) 2:13–22. Waovu hutolewa waone machukizo yao wenyewe, Mos. 3:25. Uzinzi unachukiza kuliko dhambi zote isipokuwa kuua na kumkufuru Roho Mtakatifu, Alma 39:3–5. Hasira ya Bwana inawaka dhidi ya machukizo yao, M&M 97:24.