Watoto wa Kristo Ona pia Wana na Mabinti za Mungu; Yesu Kristo; Zaliwa; Zaliwa na Mungu, Zaliwa Tena Wale walioikubali injili ya Yesu Kristo. Yeyote atakayejinyenyekeza mwenyewe kama huyu mtoto mdogo ndiye mkuu, Mt. 18:1–4. Iaminini nuru hiyo ili mpate kuwa watoto wa nuru, Yn. 12:36. Mvueni mtu wa asili na kuwa kama mtoto, Mos. 3:19; 27:25–26. Kwa sababu ya agano mtaitwa watoto wa Kristo, Mos. 5:7. Kama utashikilia kila jambo lililo jema, bila shaka utakuwa mtoto wa Kristo, Moro. 7:19. Kadiri wengi walivyonipokea, niliwapa uwezo wa kuwa wana wangu, M&M 39:4. Msiogope, watoto wadogo, kwani ninyi ni wangu, M&M 50:40–41. Wewe u mmoja ndani yangu, mwana wa Mungu, Musa 6:68.