Chafu, Uchafu Ona pia Dhambi; Kutokuwa Adilifu, Siyo Adilifu; Ovu, Uovu; Safi na Isiyo safi; Sio mcha mungu Kutokuwa safi kiroho kwa sababu ya kukosa utiifu kwa makusudi kwa Mungu. Bwana atakapokuwa ameuosha uchafu wa hao mabinti wa Sayuni, Isa. 4:4 (2Â Ne. 14:4). Ufalme wa Mungu siyo mchafu, 1Â Ne. 15:34 (Alma 7:21). Wale walio wachafu watabakia wachafu, 2Â Ne. 9:16 (Morm. 9:14). Utajisikia vipi, kama utasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu, ukiwa na mavazi yaliyo machafu, Alma 5:22. Wao lazima wabaki kuwa wachafu, M&M 88:35. Lini nitapumzika, na kusafishwa kutokana na uchafu, Musa 7:48.