Obedi Ona pia Boazi; Rutu Katika Agano la Kale, mwana wa Boazi na Rutu na ndiye baba wa Yese, aliyekuja kuwa baba wa Mfalme Daudi (Rut. 4:13–17, 21–22).