Shauri Kama lilivyotumika katika maandiko, shauri maana yake ni nasihi au fundisha. Nakupa shauri ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, Ufu. 3:18. Msijaribu kumshauri Bwana, Yak. (KM) 4:10. Yeye hushauri kwa hekima juu ya kazi zake zote, Alma 37:12. Dhambi zako zimepanda juu hadi kwangu kwa sababu unataka shauri katika njia zako mwenyewe, M&M 56:14.