Uru Katika Agano la Kale, Uru ya Wakaldayo ilikuwa ndiyo nyumbani halisi kwa Abramu (Mwa. 11:27–28, 31; 15:7; Neh. 9:7; Ibr. 2:1, 4).