Koriantumuri Ona pia Wayaredi Katika Kitabu cha Mormoni, ni mfalme wa Wayeredi na ni mtu wa mwisho kuwa hai katika taifa la Wayeredi. Aligunduliwa na watu wa Zarahemla, Omni 1:21. Alikuwa mfalme juu ya nchi yote, Eth. 12:1–2. Alikamatwa na Sharedi na kuachiwa huru na wanawe, Eth. 13:23–24. Alipigana vita na maadui mbali mbali, Eth. 13:28–14:31. Alitubu, Eth. 15:3. Alipigana vita vyake vya mwisho na Shizi, Eth. 15:15–32.