Misaada ya Kujifunza
Mafuta


Mafuta

Kwa kawaida humaanishwa mafuta ya mzeituni yanapotajwa kama mafuta katika maandiko. Tangu nyakati za Agano la kale, mafuta ya mzeituni yamekuwa yakitumika kwa ibada za hekaluni na majumbani, kwa ajili ya upakaji wa mafuta, kwa kuwasha taa, na kwa chakula. Mafuta ya mzeituni wakati mwingine ni ishara ya usafi na ya Roho Mtakatifu na uwezo wake (1 Sam. 10:1, 6; 16:13; Isa. 61:1–3).

Chapisha