Himni Ona pia Mosia, Mwana wa Benjamini; Mosia, Wana wa Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana wa Mfalme Mosia. Himni alienda na kaka zake kuhubiri kwa Walamani (Mos. 27:8–11, 34–37; 28:1–9).