Asiye na Hatia, Hali ya Kutojua Kuwa bila lawama au bila dhambi. Kabla ya anguko, Adamu na Hawa walikuwa katika hali ya kutojua, 2 Ne. 2:23. Damu ya mtu asiye na hatia itasimama kama ushahidi, Alma 14:11. Kila roho ya mwanadamu ilikuwa haina hatia mwanzoni, M&M 93:38. Watu wasio na hatia wasihukumiwe pamoja na wasio na haki, M&M 104:7. Joseph na Hyrum Smith walikuwa hawana hatia ya kosa lolote la jinai, M&M 135:6–7. Watoto ni wazima tangu kuwekwa kwa msingi wa dunia, Musa 6:54.