Baraza Kuu
Baraza la makuhani wakuu kumi na wawili.
Katika siku za mwanzoni za urejesho wa Kanisa, neno baraza kuu lilitumika kwa makundi mawili tofauti ya utawala: (1) Akidi ya Mitume Kumi na Wawili wa Kanisa (M&M 107:33, 38) na (2) baraza kuu lenye kuhudumu ndani ya kila kigingi (M&M 102; 107:36).