Goliathi Ona pia Daudi Katika Agano la Kale, ni jitu la Kifilisti ambalo lilikuwa likiyashinda majeshi ya Waisraeli. Daudi alikubali kupambana naye kwa msaada wa Bwana akaliuwa (1Â Sam. 17).