Misaada ya Kujifunza
Funguo za Ukuhani


Funguo za Ukuhani

Funguo ni haki za urais, au uwezo unaotolewa kwa mtu na Mungu ili kuongoza, kudhibiti, au kutawala ukuhani wa Mungu duniani. Watu wenye ukuhani walioitwa katika nafasi za urais hupokea funguo kutoka kwa wale walio na mamlaka juu yao. Watu wenye ukuhani huutumia ukuhani huo ndani tu ya mipaka iliyowekwa na wale wanaoshikilia funguo hizo. Rais wa Kanisa ndiye mtu pekee ambaye anashikilia na anaye ruhusiwa kutumia funguo zote za ukuhani (M&M 107:65–67, 91–92; 132:7).