Kolobu Nyota iliyo karibu zaidi na kiti cha enzi cha Mungu (Ibr. 3:2–3, 9). Ibrahimu aliona Kolobu na nyota, Ibr. 3:2–18. Wakati wa Bwana unahesabiwa kulingana na wakati wa Kolobu, Ibr. 3:4, 9 (Ibr. 5:13).