Filemoni Ona pia Paulo Mkristo katika Agano Jipya aliyekuwa akimiliki mtumwa Onesimo, aliyetoroka na kuungana na Paulo. Paulo alimrudisha tena Onesimo kwa Filemoni pamoja na barua akimwomba Filemoni amsamehe yule mtumwa.