Usafi wa Kimwili Ona pia Kupenda anasa, Matamanio ya anasa; Uasherati; Uzinzi; Wema Usafi wa maadili ya kujamiiana kwa wanaume na wanawake. Yusufu alishinda vishawishi vya mke wa Potifa, Mwa. 39:7–21 (M&M 42:24; 59:6). Usizini, Ku. 20:14. Mwanamke mwema ni taji kwa mumewe, Mit. 12:4 (Mit. 31:10). Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu, 1 Kor. 6:18–19. Uwe kielelezo kwao katika usafi, 1 Tim. 4:12. Hakuna kitu kichafu kiwezacho kuishi na Mungu, 1 Ne. 10:21. Kwani mimi, Bwana, hupendezwa katika usafi wa kimwili wa wanawake, Yak. (KM) 2:28. Dhambi ya ngono ni chukizo, Alma 39:1–13. Usafi wa kimwili na wema ni mambo yaliyo mazuri na thamani sana kupita yote, Moro. 9:9. Tunaamini katika kuwa wasafi kimwili, M ya I 1:13.