Kutaamali na kufikiri kwa kina, mara kwa mara ni juu ya maandiko au mambo mengine ya Mungu. Kukiunganika na sala, kutafakari mambo ya Mungu kunaweza kuleta ufunuo na uelewa.
Nilipokuwa nimekaa nikitafakari moyoni mwangu nilinyakuliwa, 1Â Ne. 11:1 .
Moyo wangu huyatafakari maandiko, 2Â Ne. 4:15 .
Nefi alienda zake, akitafakari juu ya mambo ambayo Bwana amemwonyesha, Hel. 10:2–3 .
Nendeni majumbani mwenu na mtafakari juu ya mambo ambayo nimeyasema, 3Â Ne. 17:3 .
Kumbukeni jinsi Bwana alivyo mwenye rehema, na mtafakari mioyoni mwenu, Moro. 10:3 .
Tafakari juu ya mambo ambayo umeyapokea, M&M 30:3 .
Wakati tukiwa tukitafakari juu ya mambo haya, Bwana akagusa macho ya ufahamu wetu, M&M 76:19 .
Nilikaa chumbani mwangu nikitafakari juu ya maandiko, M&M 138:1–11 .