Watu wa Mfalme Katika Kitabu cha Mormoni, ni kikundi cha watu waliotaka kuipindua serikali ya Wanefi (Alma 51:1–8).