Ushujaa, enye Ushujaa Ona pia Amini, Imani; Hofu Kutoogopa, hususani katika kutenda kilicho chema. Uwe hodari na mwenye moyo wa ushujaa, Kum. 31:6 (Yos. 1:6–7). Kuweni mashujaa sana kuyashika na kuyatenda yote yalioandikwa, Yos. 23:6. Mungu hakutupa roho ya uoga, 2 Tim. 1:7. Moyo wake ulianza kupata ujasiri wakati aliposikia, Alma 15:4 (Alma 62:1). Wana wa Helamani walikuwa hodari kwa ushujaa, Alma 53:20–21. Kamwe sijapata kuona ushujaa mkuu jinsi hiyo, Alma 56:45. Tuweni majasiri, ndugu, na twende mbele, mbele kwenye ushindi, M&M 128:22.