Mtetezi Ona pia Yesu Kristo Yesu Kristo ni Mtetezi wetu kwa Baba (Moro. 7:28) na hutuombea Kwake. Yesu Kristo ni Mtetezi wetu kwa Baba, 1 Yoh. 2:1 (M&M 110:4). Yesu anawaombea wote, 2 Ne. 2:9 (Ebr. 7:25). Yesu alipata ushindi juu ya mauti, uliompa uwezo wa kuwaombea watoto wa watu, Mos. 15:8. Mimi ni mtetezi wenu kwa Baba, M&M 29:5. Yesu Kristo anawatetea teto zenu, M&M 45:3–5.