Benjamini, Mwana wa Yakobo
Katika Agano la Kale, ni mwana wa pili wa Yakobo wa Raheli (Mwa. 35:16–20).
Kabila la Benjamini
Yakobo akambariki Benjamini (Mwa. 49:27). Wazao wa Benjamini walikuwa watu wapigana vita. Wabenjamini wawili maarufu ni Sauli, mfalme wa kwanza wa Waisraeli (1 Sam. 9:1–2), na Paulo, Mtume wa Agano Jipya (Rum. 11:1).