Mvivu, Uvivu Asiyejishughulisha na asiyejihusisha katika kazi zilizo za haki. Ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi asile, 2Â The. 3:10. Wakawa watu wasiotaka kufanya kazi, waliojawa na fitina, 2Â Ne. 5:24. Epukana na uvivu, Alma 38:12. Mtu asiyetaka kufanya kazi asile mkate wa mfanyakazi, M&M 42:42. Ole wenu ninyi ambao hamfanyi kazi kwa mikono yenu wenyewe, M&M 56:17. Jishughulisheni kwa bidii katika shughuli zilizo njema, M&M 58:27. Acheni uvivu, M&M 88:124.