Wema Ona pia Haki, Uadilifu, enye Uadilifu; Usafi wa Kimwili; Uwezo Uaminifu na uadilifu ulio bora, uwezo na nguvu (Luka 8:46), au usafi wa kimwili (Moro. 9:9). Wewe u mwanamke mwema, Rut. 3:11. Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe atasimama katika mahali patakatifu pa Bwana, Zab. 24:3–4. Mwanamke mwema ni taji kwa mume wake, Mit. 12:4. Kima cha mke mwema chapita rubi zaidi, Mit. 31:10–31. Katika imani yenu ongezeni wema, 2 Pet. 1:5 (M&M 4:6). Jaribu wema wa neno la Mungu, Alma 31:5. Na wema uyarembe mawazo yako bila kukoma, M&M 121:45. Tunaamini katika kuwa wema, M ya I 1:13 (Flp. 4:8).