Balaamu Nabii katika Agano la Kale ambaye alitaka kuilaani Israeli kwa ajili ya fedha. Aliamriwa na Bwana asiilaani Israeli (Hes. 22–24). Punda wa Balaamu alikataa kwenda mbele kwa sababu malaika alisimama katika njia yake, Hes. 22:22–35.