Uvumi
Shetani hueneza uvumi na magomvi—wakati mwingine hujengwa kwa sehemu fulani juu ya ukweli—ili kuwageuza watu dhidi ya Mungu na yote yaliyo mema (Hel. 16:22; JS—H 1:1). Moja ya ishara ya Ujio wa Pili wa Yesu Kristo ni kwamba watu watasikia juu ya vita na uvumi wa vita (Mt. 24:6; M&M 45:26; JS—M 1:23).