Utukufu wa Terestria Ona pia Madaraja ya Utukufu Daraja la pili kati ya madaraja matatu ya utukufu ambamo ndani yake watu wataishi baada ya Hukumu ya Mwisho. Paulo aliona utukufu wa terestria, ukilinganishwa na utukufu wa mwezi, 1 Kor. 15:40–41. Joseph Smith na Sydney Rigdon waliona utukufu wa terestria, M&M 76:71–80. Utukufu wa terestria unaupita ule wa telestia, M&M 76:91. Wale wasioweza kustahmili sheria ya ufalme wa terestria hawawezi kustahmili utukufu wa terestria, M&M 88:23, 30, 38.