Baraba Jina la mtu aliyeachiwa huru badala ya Yesu wakati ule wa Kusulubiwa. Baraba alikuwa mwasi, mwuaji, na mnyangʼanyi (Mt. 27:16–26; Mk. 15:6–15; Lk. 23:18–25; Yn. 18:40).