Seti Ona pia Adamu Katika Agano la Kale, ni mwana mwadilifu wa Adamu na Hawa. Seti alikuwa mtu mkamilifu, na sura yake ilikuwa kwa mfano halisi wa baba yake, M&M 107:42–43 (Mwa. 5:3). Seti alikuwa miongoni mwa wenye nguvu katika ulimwengu wa roho, M&M 138:40. Mungu alijifunua mwenyewe kwa Seti, Musa 6:1–3, 8–14.